
Only 1 item left
Estimated dispatch by Tuesday, Nov 24
Orders placed now dispatch tomorrow morning
Via Xerin Logistics · delivery fee & arrival date confirmed at checkout
MULTIFUNCTIONAL SHREDDER Mashine moja kwa wanyama wote unaowafuga. Inafaa kwa: Bata, Kuku, Ng'ombe, Mbuzi / Kondoo, Nguruwe na Sungura Inachakata: Karoti, Viazi, Viazi Vitamu, Kabichi, Maboga, Majani ya Viazi Vitamu, Matunda na Mboga mbalimbali *SIFA 5 KUU:* 1. Mashine Moja, Wanyama Wote: Hutakiwi kununua mashine ya kuku peke yake na nyingine ya ng'ombe. Hii moja inatosha kwa bata, kuku, ng'ombe, mbuzi na nguruwe. 2. Inapunguza Gharama ya Chakula: Inachambua vizuri malisho unayokuwa nayo shambani — maboga, majani, viazi — badala ya kutegemea kununua chakula cha dukani kila siku. 3. Haraka Sana: Drum kubwa ∼100L, inachakata 300 - 600 kg kwa saa. Kazi ya masaa 3 unamaliza ndani ya dakika chache. 4. Imara na Inadumu: Mwili wa chuma kizito chekundu, umeimarishwa maalum. Imetengenezwa kwa kazi ya kila siku shambani, sio ya kuonyesha tu. 5. Rahisi Kutumia na Kuhamisha: Unawasha, unamwaga malisho juu, yanatoka yamesha chambuliwa mbele. Ina magurudumu, unaisukuma popote unapotaka. *VIWANGO VYA UMEME:* Voltage: 220V / 50Hz Nguvu ya Motor: 1,500W - 2,200W
Scan me